Waliosema kipindi kile CHADEMA ilikuwa haina watu wa kuongoza nchi, maneno hayo yalikuwa ya Kweli

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Kuongezeka kwa Watu wanaotoka ndani ya CCM kuna nipa Imani hata Kenya KANU ilikufa kwa watu wengi wa KANU kuhamia Jubilee hadi Mtoto wa Muasisi wa KANU (Uhuru Kenyata akahama chama Cha Baba yake hata Tanzania Tutaona akina Ridhiwani Kikwete au Hussein Mwinyi wakihamia Vyama Pinzani.

Viongozi hawa ni Msingi wa Ukombozi
-Kafulila
-Bashe
-Masha
-Sumaye
-Lowassa
-Nape
-Membe
-Nyalandu

Na Wengine wanaotarajiwa Kuja hawa ni msaada mkubwa sana hata kwenye kile kipengele cha Kuiba Kura. Kama Trick ya 2015 ilikua Kura za Urais Zinabuniwa Kila Kituo wana Tally then wanatangaza huku wakihakikisha Tallying center Za UKAWA zimedhibitiwa ndo Usalama wa Taifa kazi hii wanaiweza Vizuri kuliko kazi yeyote.
 
Kuna watu wanaojitambua weeee. Usidhani kama itatokea siku hata moja Nape akae na fisadi Lowassa hata angempa nini. Nape hawezi kuvumilia uchafu wa Lowassa hata iweje.Pia sidhani kama Membe na Lowassa wataiva.
 
Kuongezeka kwa Watu wanaotoka ndani ya CCM kuna nipa Imani hata Kenya KANU ilikufa kwa watu wengi wa KANU kuhamia Jubilee hadi Mtoto wa Muasisi wa KANU (Uhuru Kenyata akahama chama Cha Baba yake hata Tanzania Tutaona akina Ridhiwani Kikwete au Hussein Mwinyi wakihamia Vyama Pinzani.

Viongozi hawa ni Msingi wa Ukombozi
-Kafulila
-Bashe
-Masha
-Sumaye
-Lowassa
-Nape
-Membe
-Nyalandu

Na Wengine wanaotarajiwa Kuja hawa ni msaada mkubwa sana hata kwenye kile kipengele cha Kuiba Kura. Kama Trick ya 2015 ilikua Kura za Urais Zinabuniwa Kila Kituo wana Tally then wanatangaza huku wakihakikisha Tallying center Za UKAWA zimedhibitiwa ndo Usalama wa Taifa kazi hii wanaiweza Vizuri kuliko kazi yeyote.
Ndio maana Rais Mstaafu Mkapa aliwaita wapumbavu na malofa! Hao ulioorodhesha ndio wamkomboe nani na kwa lipi??
 
Back
Top Bottom