Waliopoteza muelekeo wa kisiasa

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
juzi majira ya saa nne usiku huko dodoma nusara zitwangwe bila kuwa na refa nikwa wale wabunge waliyo poteza muelekeo kwenye majimbo yao ya ubunge huku kienja akisema alikuwa yuko sawa kwakupoteza muelekeo wa kisiasa kwakuwa wananchi wa ubungo hawakumchagua ila ilbidi walizimishe kuchukua jimbo hilo aliyekuwa amechaguliwa ni mnyika wa chadema na siyo yeye akawatahadharisha wanaotaka ubunge kwa jimbo hilo, wasidhubuti kwakuwa ipo wazi yakuwa mnyika ndiye chaguo la wananchi kwasasa na hata baadae,
 
......kwakuwa wananchi wa ubungo hawakumchagua ila ilbidi walizimishe kuchukua jimbo hilo aliyekuwa amechaguliwa ni mnyika wa chadema na siyo yeye akawatahadharisha wanaotaka ubunge kwa jimbo hilo, wasidhubuti kwakuwa ipo wazi yakuwa mnyika ndiye chaguo la wananchi kwasasa na hata baadae,

Ikiwa chanzo cha habari hii ni reliable. I like this part.
 
juzi majira ya saa nne usiku huko dodoma nusara zitwangwe bila kuwa na refa nikwa wale wabunge waliyo poteza muelekeo kwenye majimbo yao ya ubunge huku kienja akisema alikuwa yuko sawa kwakupoteza muelekeo wa kisiasa kwakuwa wananchi wa ubungo hawakumchagua ila ilbidi walizimishe kuchukua jimbo hilo aliyekuwa amechaguliwa ni mnyika wa chadema na siyo yeye akawatahadharisha wanaotaka ubunge kwa jimbo hilo, wasidhubuti kwakuwa ipo wazi yakuwa mnyika ndiye chaguo la wananchi kwasasa na hata baadae,
Acha hizo wewe nani kakwambia kwamba Mnyika ni chaguo la wananchi wa jimbo la uchaguzi la Ubungo. Kwa lipi hasa zuri kafanya ili awe chaguo la wananchi. Hilo jimbo pamaoja na mengine yoote yatakuwa wazi ifikapo Octoba kwa yeyote anayejiona ana sifa aweze kugombea .
 
unaweza kukubali au kukataa ni ufahamu wako ila ukweli ndiyo huwo katamka kienja mwenyewe aliyekuwa anagombea na si ubungo tu na majimbo mengne yanawenyewe na siyo ccm tena kwasasa wananchi hawadanganyiki tena na tena kama munaendelea kubisha mfuateni kienja mukamuulizi atawapa majibu ya kujitosheleza,
 
The Hon. Is CHARLES KEENJA not Kienja....na kuhusu hili inawezekana Mhe. Keenja akawa right kutokana na acrobatics za chama chake. CCM inawenyewe bana!. ustarajie hata huyo Mnyika endakawa ni M- CCM. Bado majimbo ya mjini yanasumbua hata kule Kawe, Temeke nk ni mshike mshike na sasa tunakwenda kwa tiketi za mgombea "binafzi" ..aha shwari tupu!
 
SI keenja tu,sisi raia wa ubungo hatuwataki hata hao CCM inotaka kuwaleta ( Shamsa Mwangunga ), We have tried these guys (CCM) so hard its now time to try something different.
 
Waliopoteza muelekeo wa kisiasa nia as follows.........!
1.chadema
2.zitt0
3........
 
juzi majira ya saa nne usiku huko dodoma nusara zitwangwe bila kuwa na refa nikwa wale wabunge waliyo poteza muelekeo kwenye majimbo yao ya ubunge huku kienja akisema alikuwa yuko sawa kwakupoteza muelekeo wa kisiasa kwakuwa wananchi wa ubungo hawakumchagua ila ilbidi walizimishe kuchukua jimbo hilo aliyekuwa amechaguliwa ni mnyika wa chadema na siyo yeye akawatahadharisha wanaotaka ubunge kwa jimbo hilo, wasidhubuti kwakuwa ipo wazi yakuwa mnyika ndiye chaguo la wananchi kwasasa na hata baadae,

Huo upupu uliousema hapo juu hauwezi kusemwa na Keenja hata siku moja. Endelea kuota tu.
 
SI keenja tu,sisi raia wa ubungo hatuwataki hata hao CCM inotaka kuwaleta ( Shamsa Mwangunga ), We have tried these guys (CCM) so hard its now time to try something different.
Inaelekea uko tayari kabisa kushangaa ifikapo December 2010. Ukweli ni kwamba Keenja hana nia ya kugombea tena. Ila sijaona mtu wa kuizuia CCM kushinda Ubungo.
 
SI keenja tu,sisi raia wa ubungo hatuwataki hata hao CCM inotaka kuwaleta ( Shamsa Mwangunga ), We have tried these guys (CCM) so hard its now time to try something different.
kweli kabisa tufanyeni mabadiliko ya kweli hata kama wewe siyo mwanasiasa unapaswa kuelimisha jamii nzima ccm hawana jipya ni wale wale tu
 
Back
Top Bottom