Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
juzi majira ya saa nne usiku huko dodoma nusara zitwangwe bila kuwa na refa nikwa wale wabunge waliyo poteza muelekeo kwenye majimbo yao ya ubunge huku kienja akisema alikuwa yuko sawa kwakupoteza muelekeo wa kisiasa kwakuwa wananchi wa ubungo hawakumchagua ila ilbidi walizimishe kuchukua jimbo hilo aliyekuwa amechaguliwa ni mnyika wa chadema na siyo yeye akawatahadharisha wanaotaka ubunge kwa jimbo hilo, wasidhubuti kwakuwa ipo wazi yakuwa mnyika ndiye chaguo la wananchi kwasasa na hata baadae,