Elections 2010 Waliopiga kura Kinondoni ni 30% ya waliojiandikisha why?

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Nilipigwa na Butwaa jana baada ya kutembelea vituo kadhaa katika jimbo la kinondoni ambako nilikuta kwa wastani kila kituo kilikuwa kimepata wapiga kura 136 kati ya 450 sawa na 30%.

Katika hali hii kwanini watu wasipige kura?
 
Nilipigwa na Butwaa jana baada ya kutembelea vituo kadhaa katika jimbo la kinondoni ambako nilikuta kwa wastani kila kituo kilikuwa kimepata wapiga kura 136 kati ya 450 sawa na 30%.

Katika hali hii kwanini watu wasipige kura?

Kindondoni kila mtu na kazi yake:

changudoa, shoga walisharidhika kuwa hayo ndiyo maisha yao
mateja walishakubali that is part of their life
majambazi na wauza unga nao vilevile
waokota chupa za makopo na huree
matajiri hawana shida

Ya nini kupiga kura?
 
Vitisho vya ccm na majeshi (especially JWTZ) yalifanya watu wapate hofu.
Lakini yamewarudi!
 
kindondoni kila mtu na kazi yake:

Changudoa, shoga walisharidhika kuwa hayo ndiyo maisha yao
mateja walishakubali that is part of their life
majambazi na wauza unga nao vilevile
waokota chupa za makopo na huree
matajiri hawana shida

ya nini kupiga kura?

he he he he umenifanya nicheke sana
 
Kuna kata moja wilaya ya Temeke idadi iko hivi (kwa mujibu wa matokeo ya udiwani yaliyobadikwa)

Waliojiandikisha kupga kura katika Kata hiyo ni 12,393
Walipiga kura ni 4,815 (asilimia 39)

kunaweza kuwa na maelezo tofauti juu ya hali hii. kutokana na hamasa ya upigaji kura ilivyokuwa mwaka huu ni wazi kwamba watu wengi waliojiandikisha walipiga kura. watu walihamasishana sana. kwa hivo nashawishika kuhisi kwamba Tume ya Uchaguzi iliandikisha mamluki wengi sana ili CCM ije kuwatumia kupiga kura hewa. Wananchi walivodhibiti uchakachuaji, basi wapiga kura hao hewa ndio hawakupiga kura. ndiyo maana pia hata idadi ya waliojiandikisha 19 millioni ilitia shaka tangu awali
 
Back
Top Bottom