Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

Ada limit inapigwa Kama hakuna much ads request kwenye site yAko..kwa kifupi inapigwa hiyo Kama viewers wako chini ya kiwango....kwa maana ingine adsense hawawezi kudisply ads kwenye site ambayo hakuna viewers ..so ukiwa na viewers wengi hii kesi unaishinda cjap
Hivi hii kitu inaweza kupelekea 'Disabled' ikiwa issue ni low traffic ?
 
Hivi hii kitu inaweza kupelekea 'Disabled' ikiwa issue ni low traffic ?
Hapana..disable ni kama unakiuka masharti ya adsense , Kama copy and paste content,invalid click,self click, bot trafick and so on Kama hayo , hii ads limit wanapunza kiwango cha namna matangazo yanavyoknekano kwako..kwani request yake kwako inakuwa ndogo ..pia wanaangalia Sana trafikk ..Kama asilimia kubwa unategemea trafik za kibongo..alafu wapo wachache utaipata hii kitu..Ila kama unanyomi Lila siku page view unasoma kuanzai watu 10000 na kuendelea huwezi pata huo ugonjwa...
 
Kingine guys kwa uchunguzi wangu ..ukiacha kampuni kubwa za.media bongo, kwa manaa zenye trafik kubwa na ziko well organize kwenye big search engine, hakuna Mtz mwenye mafanikio endelevu kwenye adsense ..wengi huwa tunapata Kisha kukosa..usije ukarukwa akili mtu akituma screen short ya madola mengi..wengi ni waongo tena waongo haswa...

Kwa wastani mtu mwenye blog yAke kwa bongo ata awe anashare vipi kwa tragiki gan..mwisho wa kupata ni dola 25-30 kwa siku..huyo ndio kajitahidi mnoo..japo tupo wachache ambao tunafiksiha dola 50-80 kwa siku Moja Moja ..Ila kww makampuni wanaweza kufika zaidi ya dola 80-200 kwa siku haswa mwananchi, nipashen, millard Ayo nk.

Sababu kubwa ya wao kuwa hivyo ni kwamba wanatrafiki kubwa mpaka nnje za nchi.so wanauhakika wa viewr za kutosha tu
 
Hapana..disable ni kama unakiuka masharti ya adsense , Kama copy and paste content,invalid click,self click, bot trafick and so on Kama hayo , hii ads limit wanapunza kiwango cha namna matangazo yanavyoknekano kwako..kwani request yake kwako inakuwa ndogo ..pia wanaangalia Sana trafikk ..Kama asilimia kubwa unategemea trafik za kibongo..alafu wapo wachache utaipata hii kitu..Ila kama unanyomi Lila siku page view unasoma kuanzai watu 10000 na kuendelea huwezi pata huo ugonjwa...
Kingine guys kwa uchunguzi wangu ..ukiacha kampuni kubwa za.media bongo, kwa manaa zenye trafik kubwa na ziko well organize kwenye big search engine, hakuna Mtz mwenye mafanikio endelevu kwenye adsense ..wengi huwa tunapata Kisha kukosa..usije ukarukwa akili mtu akituma screen short ya madola mengi..wengi ni waongo tena waongo haswa...

Kwa wastani mtu mwenye blog yAke kwa bongo ata awe anashare vipi kwa tragiki gan..mwisho wa kupata ni dola 25-30 kwa siku..huyo ndio kajitahidi mnoo..japo tupo wachache ambao tunafiksiha dola 50-80 kwa siku Moja Moja ..Ila kww makampuni wanaweza kufila zaidi ya dola 80-200 kwa siku haswa mwananchi, nipashen, millard Ayo nk.

Sababu kubwa ya wao kuwa hivyo ni kwamba wanatrafiki kubwa mpaka nnje za nchi.so wanauhakika wa viewr za kutosha tu
Ads zikipungua, lakini traffic ikiongezeka wanaongeza automatic ?

Una share au ni organic traffi na unatumia blogspot au WP?
 
Kuna mbinu yoyote unatumia kukwepa bot la fb wakati wa spamming?
Siki kila group unashare..share kwenye group amabzo zinaendana na ulichoandika..share angalau kila.baada ya dk 10-20 kulingana na groups ulizonazo...
Kama umeandika story kuhusu Yanga..then share kwenye groups z Yanga...Kama ni udaku share kwenye groups za udaku ..Kama ni habari share kwenye group za habari n.k

Lipia post boost ..angalau jiweke utaratibu wa kuboost post zako Kila wiki lost Moja ..hii inasaidia Sana kukwepa.kupigwa bann na fb

Jitahidi page yAko iwe active na uilink na blog yAko ...boost likes kwa kulipia page yAko.
 
Back
Top Bottom