mugisha john
New Member
- Aug 12, 2019
- 4
- 2
Nataka tujikumbushe wale vipange wa A level enzi zetu.
Vipi maisha ya mtaani yanaendajeTupo hapaa
Ulikuwa unasomajevipange mko wapi?
FafanuaAA+B
Maisha ni jinsi unayachukulia
Walikuwa wanakesha sana or?AA+B
Maisha ni jinsi unayachukulia
haya kipange toa ushuhuda wakoTupo hapaa
tatizo mi sikuwa kipange nilikuwa kipangaUlikuwa unasomaje
wasomiiiiiiiii, taaabu kweli kweli.Kinachosikitisha wale wa familia nyonge wengi wataishia kuuza viwalo vya kichina na makopo ya juice kama sisi tu wenye division 0 hii ndio Tanzania!
Laiti ningejua umuhimu wa Pesa baada ya kupata vyeti nisingeshupazaga shingo pale Mwandege Boys kutetea upumbaf!!!
Kinachosikitisha wale wa familia nyonge wengi wataishia kuuza viwalo vya kichina na makopo ya juice kama sisi tu wenye division 0 hii ndio Tanzania!
Laiti ningejua umuhimu wa Pesa baada ya kupata vyeti nisingeshupazaga shingo pale Mwandege Boys kutetea upumbaf!!!
👽wanasoma kwa bidii na wanatanua akili zao zinajikita katika kitu wanachokifanya specifically sio uko darasani upanga akili inawaza vigorodo gongolamboto.
nimekukumbuka wewe mswahili
Shikamoo mzungunimekukumbuka wewe mswahili
Wakati nasepa ilikuwa makini sanaMwandege boys iko poa hiyo shule