MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,604
unataka kuninyima nini?Shikamoo mzungu
unataka kuninyima nini?Shikamoo mzungu
Naona kizazi cha big result now a.k.a kizazi chenye matokeo yaliyo chakachuliwa na wanasiasa bungeni.B+B+B+
P C M
Nilikuwa nasoma physics tu. Chemistry na hesabu ilikuwa rahisi
Andaziunataka kuninyima nini?
Wakati nasepa ilikuwa makini sana
SiisikiiNow imechuja?
watoto wa pugu secondarywanasoma kwa bidii na wanatanua akili zao zinajikita katika kitu wanachokifanya specifically sio uko darasani upanga akili inawaza vigorodo gongolamboto.