Waliopata div 1 ya point 3 hivi walikuwa wanasomaje. Unakumbuka?

Kinachosikitisha wale wa familia nyonge wengi wataishia kuuza viwalo vya kichina na makopo ya juice kama sisi tu wenye division 0 🤣🤣🤣 hii ndio Tanzania!

Laiti ningejua umuhimu wa Pesa baada ya kupata vyeti nisingeshupazaga shingo pale Mwandege Boys kutetea upumbaf!!!
 
Kinachosikitisha wale wa familia nyonge wengi wataishia kuuza viwalo vya kichina na makopo ya juice kama sisi tu wenye division 0 hii ndio Tanzania!

wasomiiiiiiiii, taaabu kweli kweli.
 
Mwandege boys iko poa hiyo shule

Back
Top Bottom