Walioomba kusoma elimu ya juu Tanzania kupitia TCU(undergraduates 2016)

KAMA HAUJAKUWA ADDED IN THE GROUP BASI UJUE HUJAFUATA MAELEKEZO..... TUMA NAMBA YAKO KWANGU THROUGH WHATSAPP ....SIO UTUME HAPA AU NORMAL TEXT AU KUPIGA.... SEND VIA WHATSAPP ONLY
 
NATUMAI KILA ALIETUMA NAMBA YAKE INAYOTUMIA WHATSAPP AMEUNGANISHWA.....KAMA KUNA AMBAE NIMEMSAHAU ANITUMIE TENA NAMBA NA JINA WHATSAPP...... NAFASI BADO ZIPO NA VIJANA WANAENDELEA KUPASHANA HABARI NA KUELEWESHANA..... KARIBUNI
0743574165
 
NDUGU ZANGU WATANZANIA TUSAIDIANE KUFUATA MAELEKEZO BASI.... NIMESEMA TUMA NAMBA YAKO KWENYE HIYO NAMBA HAPO JUU NIKUADD KWENYE GROUP LA WASOMI WENZIO TULIOAMUA KUSAIDIANA NA KUELEKEZANA NA KUHABARISHANA KUHUSU MAOMBI YA VYUO NA MKOPO WA ELIMU YA JUU......NAMAANISHA WALE WANAOTARAJIA KUSOMA ELIMU YA JUU...BACHELOR DEGREE
0623954176
 
da kiswahili kigumu aisee mtumieni ujumbe whatsupp wala si pengine mbona tunakuwa wagumu kuelewa jamani ndio maana kwenye mitiani wanatoa instraction usome kwanza kabla ujafanya lolote dah
 
da kiswahili kigumu aisee mtumieni ujumbe whatsupp wala si pengine mbona tunakuwa wagumu kuelewa jamani ndio maana kwenye mitiani wanatoa instraction usome kwanza kabla ujafanya lolote dah

Ama kweli leo ndio nimeamini kuwa vijana wa sasa ni V.I.L.A.Z.A kweli kweli.....wewe umeambiwa tuma namba yako kwa namba hiyo hapo juu halafu wewe unaweka namba yako hapa.......hii ni hatari ya hali ya juu sana........sijui huko vyuoni itakuwaje........
Kuzingatia maelekezo tuu probability ya kufaulu ni kubwa......na kwa kutokuzingatia maelekezo unakuwa ume fail bila JASHO
 
Back
Top Bottom