Walioomba kazi Utumishi wanaitwa kwenye usaili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walioomba kazi Utumishi wanaitwa kwenye usaili!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KIDUNDULIMA, Apr 12, 2012.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wana JF kama una ndugu au jamaa aliyekuwa ameomba kazi utumishi, wametoa maelfu ya majina na kutangazwa kwenye gazeti la daily news la leo Ahamisi (12/04/2012). Hivyo wajulisheni wapendwa wenu ili wajue ni tarehe na mahali gani usahili utafanyika haraka iwezekanavyo maana.

  Nawasilisha.
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  post zp!!!!!!!!!
   
 3. S

  Santiago1 New Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks kwa taarifa mkuu
   
 4. A

  Agrodealer Senior Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunaomba mtuwekee ndugu waheshimiwa
   
 5. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Katafute hilo gazeti utaziona. Zipo kibao nitamaliza ukurasa wote kuorodhesha hapa. Fanya nawe kazi yako
   
 6. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
 7. dogojanja 87

  dogojanja 87 JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 885
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ahsante sana mdau uliepost hii kitu,nimeitwa kwenye interview,naombeni mniombee wana JF..
   
 8. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  naomba kujuzwa ndugu zanguni,
  kuna zile nafasi zilitoka pia utumishi za maaafisa ushirika(cooperative officers)nafasi za kazi zilikua 20 vipi walishatoa shortlist?
  Mana niliomba mda mrefu kidogo tokea mwezi wa pili mwishon
  mwenye taarifa tafadhali naomba msaada wa kujuzwa ndugu zanguni
   
 9. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Endelea kupitia kwenye website ya utumishi kila mara unaweza kubaatisha tangazo la kuitwa.
   
 10. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  nashukuru kiongozi
   
 11. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu ubarikiwe kwa taarifa japokuwa nimechelewa kuliona tangazo ila limenisaidia kuona jina langu lipo ktk nafasi niliyoomba. Hapa inakuwa vipi ktk suala la vyeti maana watu wengi waliomaomaliza siku hizi hawana vyeti kutokana na deni la ada. Na ktk vitu ambavyo msailiwa anatakiwa aende navyo siku ya usaili ni vyeti original, si kuna hati hati hapa tukajikuta tumefika wawili tu?
   
 12. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx kwa taarifa mdau
   
Loading...