Walioomba ajira TRA Novemba wameshaitwa kwenye usaili?

Habari wadau,

Samahani kwa wale walioomba nafasi za ajira TRA za mwezi November ambazo deadline ilikuwa tarehe 4 washapata majibu ya kuitwa kwenye usaili maana ajira portal huwa wanatoa majibu baada ya week 2 kupita yangu deadline.
Daa hawa TRA hawaaa noma sanaaaa bwanamdogo alifanya interview akatoboa akaenda oral ila hawakumuita hataa mpaka na wa leo
 
Back
Top Bottom