huengeza hisia na kuharakisha digeshen..!Katika uchunguzi wangu nimegundua asilimia kubwa ya wanaume waliooa hupendelea kunywa mtindi wa maziwa ,na mara nyingi hua ni baada ya chakula cha jioni. Sasa naomba nifahamishwe kazi ya ule MTINDI kwasabu na mimi nitaingia huko ndoani mapema sana mwaka huu
Nataka nijue kabla sijaingia mkuu