Waliooa na kinachoitwa mtindi wa maziwa

NYAMALAWA

Member
May 3, 2012
90
17
Katika uchunguzi wangu nimegundua asilimia kubwa ya wanaume waliooa hupendelea kunywa mtindi wa maziwa ,na mara nyingi hua ni baada ya chakula cha jioni. Sasa naomba nifahamishwe kazi ya ule MTINDI kwasabu na mimi nitaingia huko ndoani mapema sana mwaka huu
 
Mmmmh! ngoja waje wakueleze ila mimi pia mtindi naupenda sana japo sijaoa,ngoja na mimi nijifunze toka kwao
 
Katika uchunguzi wangu nimegundua asilimia kubwa ya wanaume waliooa hupendelea kunywa mtindi wa maziwa ,na mara nyingi hua ni baada ya chakula cha jioni. Sasa naomba nifahamishwe kazi ya ule MTINDI kwasabu na mimi nitaingia huko ndoani mapema sana mwaka huu
huengeza hisia na kuharakisha digeshen..!
mmmmh
images
images
images
 
Mkuu wewe utatosha kutoa ushahidi wa hili...ukiingia humo ndoani tuletee majibu kwanini mnapenda?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom