Elections 2010 Walionyimwa haki ya kupiga kura waweke pingamizi.

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,036
265
Prof wa Udsm amesema katika mahojiano na TBC saa 3:40 kama wananchi wako makini waipeleke tume mahakamani kupinga kunyimwa haki yao ya kupiga kura. Wazuie matokeo kwani yamewanyima haki yao ya msingi nay a uraia, wagombea wa vyama hata wakiridhirika wapiga kura wasioridhika wazuie matokeo hadi nao wapate haki yao. Anasema excuse za tume hazikubaliki maana ni mchezo wa siku zote. Kama kulikuwa na mashaka basi benefit of doubt iwaendee wapiga kura na sio tume.
 
Back
Top Bottom