Walionunua magazeti ya guardian na daily news yote mwenge na ubungo yana nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walionunua magazeti ya guardian na daily news yote mwenge na ubungo yana nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 30, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  Wapendwa
  nilipita mida ya saa nne leo mwenge nikakuta gari mbili zimeingia kwenye stand ya basi zimepaki nikiwa nasubiria
  kununua gazeti la daily news kaka yangu mmoja dama akasema pole kaka leo jamaa wamekusanya magazeti yote ya dailynews na guardian cash cash sisjui kuna nini tukatuma mengine wakarudi tena wakachukua yote
  nimejiuliza walio na hayo magazeti leo kuna nini ndani embu tusadiane jamani
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hii ndo habari kuu kwenye mtandao wa IPP Media

  [h=2]Don calls for measures to address power crisis[/h]:: IPPMEDIA
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,317
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Issue ya Tanesco ya Luku hiyo inawatesa wameamuaa kuyazoa yoote!!
   
 4. T

  The Priest JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Dnt tel me!
   
 5. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  still nimeisoma bado sijapata y ayanunue yote kwa sababu ya hiyo taarifa coz wordz are common.
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Badra Masoud, PRO wa Tanesco ametoa maelezo kuhusu tatizo la LUKU kupitia taarifa ya habari ya TBC1 inayoendelea sasa!
   
 7. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  kama Luku imewashinda sioni mgao kubaki historia
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  wako very technical, hawazalishi megawati za kutosha sawa na majigambo yao, ili wasiumbuke wana-create tatizo la connectivity, wanafungia unit za luku kwenye kabati, kwa hiyo watakaokosa connection watapunguza demand ya kama mw 160 hivi, ambazo hazipo. upo uwezekano igunga umeme hautakatika mpaka uchaguzi upite au siku ya kuhesabu kura ndio zengwe la giza litawatia majaribu wana igunga.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  yaani aibu tumechukuana watu 5 mpaka ubungo tukaambiwa toka asbh jamaa wananunua wanaondoka na huku wanaaacha watu wao kuangali kaama wanayaleta bado ama lah wajanja ni wale waliokuwa na akamchezo cha kurudisha waananunua wanarudisha yule mshikaji wangu wa mwenge yaani napita jion naambiwa kafunga biashara saa saba mmh kazi ipo nisaidien kuna nini jamani
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  wakuu nimesikia clouds fm ingawa redio ya wambeya jamaa wanaidiwa na kampuni moja zaidi ya billion 400 inaowasaidia kwenye connectivity za luku saaasa babra ameulizwa ameishia kuuliza na yyeye nani kawambia nikakumuka rafiki wa mjomba wangu alikuwa denmark alipokuwa anakuja akapiga simuakasema nasikia tanzania ukiulizaswali unaulizwa swali ...nikacheka alipofika akamkuta dada mmoja wa swissport akamwambia ati nasikia tanzania mkiulizwa swali mnaulizaswali akamwambia nani kakwambia yaani hoi akammaliza kabisa hawa wasanii wakina babra wanapewa vyeo kwa njia za xcvvvvvvvv shida sana sana
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Kwa wale mafundi wa vyombo vya hewani wanaweza kukubaliana na mimi kwamba ukiona chombo kinaanza kufeli operational system moja baada ya nyingine, uwezekano wa rubani kukifikisha chini salama unakuwa mdogo sana! Jamani hizi signs si njema hata kidogo! Mwenye macho na atazame
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  wako very technical, hawazalishi megawati za kutosha sawa na majigambo yao, ili wasiumbuke wana-create tatizo la connectivity, wanafungia unit za luku kwenye kabati, kwa hiyo watakaokosa connection watapunguza demand ya kama mw 160 hivi, ambazo hazipo. upo uwezekano igunga umeme hautakatika mpaka uchaguzi upite au siku ya kuhesabu kura ndio zengwe la giza litawatia majaribu wana igunga.
   
Loading...