Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,006
- 173,656
😅😅😅😅😅😅Amini nakuambia, Chama kitakacho nadi Sera za Magufuli kitachukua nchi asubuh kweupe. Hata km ccm wakiiba kura.
Magufuli alishajitengenezea wapiga kura wanaomkubali wengi sana.
Achana na hawa makasuku wa JF
Wakija na misimamo ya Jembe hata mimi ntapiga kura!