Waliomtukana Lowassa 2015 ndio hao hao wanaomsimanga Magufuli leo, sijui CCM tunahitaji kiongozi wa namna gani?

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,443
2,000
Amini nakuambia, Chama kitakacho nadi Sera za Magufuli kitachukua nchi asubuh kweupe. Hata km ccm wakiiba kura.
Magufuli alishajitengenezea wapiga kura wanaomkubali wengi sana.
Achana na hawa makasuku wa JF
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Wakija na misimamo ya Jembe hata mimi ntapiga kura!
 

abulaaliyah77

JF-Expert Member
Oct 13, 2021
1,358
2,000
Jidanganye tu mwenyw
Amini nakuambia, Chama kitakacho nadi Sera za Magufuli kitachukua nchi asubuh kweupe. Hata km ccm wakiiba kura.
Magufuli alishajitengenezea wapiga kura wanaomkubali wengi sana.
Achana na hawa makasuku wa JF
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,602
2,000
..waliokuwa wakimtukana Lowassa ni pamoja na Lusinde uliyemtaja.

..kuna baadhi kamaJoseph Msukuma walifikia mpaka kupiga kampeni kwamba Lowassa ni mgonjwa anayekaribia kufa na kwamba anajisaidia haja kubwa anapopanda jukwaani kuhutubia.

..Magufuli naye zile push-up alizokuwa akipiga zililenga kuonyesha wapiga kura kwamba yeye ana afya na yuko imara kuliko Lowassa.

..Dr.Bashiru na Humphrey Polepole nao kwa nyakati mbalimbali walitoa kauli za kejeli na kidhalilishaji dhidi ya Lowassa.

..Nadhani joto la kuwa mpinzani lilikuwa kali mno na ndilo lililopelekea Lowassa arudi CCM pamoja na kwamba makada waandamizi wa chama hicho walimdhalilisha pakubwa wakati wa kampeni za 2015.
 

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
2,007
2,000
Nimekumbuka kauli ya Lusinde aka Kibajaji mbunge wa Mtera aliyoitoa bungeni kwamba wanaccm wanaomsengenya hayati Magufuli sasa watamsengenya hata mama baada ya kustaafu 2030 kwani aliyekula nyama ya mtu huwa haachi.

Ndio nimewafuatilia hawa jamaa wanaomsimanga Magufuli na kugundua kuwa ndio wale wale waliokuwa wanamtukana Lowassa 2015 " baada " ya kuhamia Chadema.

Sijajua wanaccm hawa wanataka kiongozi wa namna gani?!!!

Ngachoka kabisa!

Maendeleo hayana vyama.
HATA MAMA ATATUKANWA na Hao Hao
 

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
474
1,000
Utamchagua nani sasa kama CCM hutaichagua? Maana hata usipofanya hivyo wataishurutisha tume iwapitishe
Mkuu waislamu wanasema ukishindwa kukemea jambo ovu bora hata uonyeshe kuwa hujafurahi na huungi mkono, hapo bora ufanye lolote kuliko kutia tiki yako kwa hao jamaa, itaonekana umeunga mkono uovu, wacha wajipe wenyewe , yana mwisho,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom