Waliompakazia Kubenea kununuliwa na akina Rostam wazidi kuumbuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliompakazia Kubenea kununuliwa na akina Rostam wazidi kuumbuka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zak Malang, Jun 29, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Leo katika gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea amewahakikishia Watz wote, mashabiki wake, na haswa wale waliompakazia kwamba tayari kanunuliwa na Rostam Aziz na rafikiye Lowassa kwamba hata siku moja hawezi kula sahani moja na mafisadi.

  Katika stori yake kuu leo "Lowassa achokoza Kikwete" mwandishi huyo amewacharaza bakora kikweli kweli hao watuhumiwa wawili wakuu wa ufisadi.

  Mafisadi ni mafisadi tu hata watu wakija na kauli za upotoshaji kuhusu wao, kamwe hawasafishiki.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Atawale milele

  Jakaya Kikwete (mentally disabled)
  [​IMG]
   
 3. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Time will tell
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimeisoma hiyo stori. Mie nadhani habari za kwamba Kubenea kanunuliwa na akina RA ulikuwa mpango aliouchomekea EL katika kujitakasa na kufagia njia ya urais 2015. Huyu EL siku hizi anatafula kila mbinu -- hata ule muafaka feki kati ya madiwani wa CDM na wale wa CCM kule Arusha una mkono wake anatka eti kuwepo hali ya amani ktk mkoa wake kwanza. Lile sakata la akina Chatanda na Millya pia kulikuwa mkono wa EL.
   
 5. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Hii picha ya Sharobalo nikiiona natamani nijifunge mabomu nitoke nae, anatia hasira sana huyu Sharobalo hana maana kabisa huyu mtu ametuharibia nchi yetu na kuifanya kam Nigeria sasa kwa michezo yake michafu yeye na wenzake Lowassa
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Unamuona anavyojiandaa kupigwa picha ???? utafikiri kuna tija, rais wa nchi anakuwa sharobalo kiasi hicho.Kazi tunayo
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  time will tell, iko wapi ile rai ya zamani. yote yawezekana. si kwamba akinunuliwa kubenea ndio uchambuzi moto moto hautopatikana tena. kwa sasa nampa hongera sana, ila ikitokea akanunuliwa na mafisadi...ntamdis ........
   
Loading...