Waliompa tuzo ya uchumi Magufuli wabanwa maswali, washikwa kigugumizi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,806
18,785
Taasisi isiyofahamika kwa watu wengi sana iliyotoa tuzo kwa rais Magufuli kwa kufanya mapinduzi ya kiuchumi, wameulizwa maswali na mwandishi wa BBC na kushikwa na kigugumizi

Maswali hayo ni pamoja na kuulizwa kuwa washindani wake ni wakina nani? Waandaaji hao walisema hiyo ni siri kwa kuwa kuwataja waliokuwa nae ni kuwaaibisha

Walipoulizwa mbona amekaa madarakani muda wa miaka 2.5 tu walijibu eti walimfuatilia kabla hajawa rais....

Walipoulizwa mbona utafiti waTwaweza umeonyesha wananchi kukosa imani nae kabisa hasa kwenye swala la kiuchumi walijiuma uma na kusema mti ulio bora ndio hupigwa mawe


Video

 
Kama kigezo ni mapinduzi ya uchumi ktk ujenzi wa miundombinu wapo sahihi but kama ligezo ni mapinduzi ya uchumi in general esp uchumi wa mtu mmoja mmoja they are very wrong and full biased.
 
Back
Top Bottom