Waliomaliza degree za habari IJMC

leseiyo

Senior Member
Oct 25, 2007
116
3
Wadau,kwa miaka mitatu UDSM imekuwa ikitoa degree tatu kupitia Taasisi ya Habari na Mawasiliano ya Umma sasa SJMC ambazo ni Mass Communication,Public Relations and Advertising na Journalism,Graduates wake wako wapi?Mbona hatuwasikii kwenye vyombo vyetu vya habari ambavyo vimegubikwa na ukanjanja pia practitioners wasiokuwa na taaluma hiyo huku taaluma yenyewe ikiendeshwa kwa mazengwe ya kisiasa bila kubeba kweli jukumu la ukombozi wa jamii?.Wengi wao nawasikia kwenye TV na radio ya Mlimani wakifanya vema tu but outside they are knocked by the system.Inakuwaje hii?
 
Kikubwa mkuu media house nyingi za bongo zinalipa pesa kidogo saana, hawa wasomi wanaogopwa saana kwani huwezi ukawalipa sawa na hawa waandishi wa mtaani
 
Back
Top Bottom