satininus
Senior Member
- Feb 11, 2021
- 135
- 171
Mimi ni mtumishi wa serikali ambaye nakaribia kustaafu. Naomba kupata japo ushuhuda kidogo kwa watumishi wa umma kupitia mfuko wa pensheni wa PSSSF waliostaafu kuanzia julai 2022.
Je mkupuo wamepata ngapi na malipo ya kila mwezi ni vipi.Ama watupe kanuni ya kikokotoo hicho ili tujue tutapata kiasi gani na hivyo tujiandae kisaikolojia.Kama kuna wafanyakazi wa PSSSF katika jukwaa hili na ninyi mtujuze tafadhali.