Waliolani na kubeza maandamano ya UKUTA huwezi kuwasikia wakisema chochote kuhusu haya maandamano

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,511
2,000
Hii ndio Bongo yetu na ndio maana mimi niliwahi kuleta mada hapa mtandaoni nikasema huenda uumbaji wa binadamu ulifanywa kwa majaribio na bara fulani ndio kiumbe wa jaribio la kwanza aliwekwa aishi na kuzaliana.

Pia nilliwahi sema IQ ya binadamu inakuwa defined na Regions anakopatikana binadamu husika na nikasema kwa bara fulani IQ ndogo iko miongoni mwa watu wengi wanaoishi kusini mwa hilo bara na IQ inaongezeka kadri unavyoenda kaskazini mwa hilo bara.

Our problems has got much to with nature that is responsible for our existence

Sisi tumetisha!
.
Sometimes nikiwaza huwa nafika mbali sana kuhusu nchi hii.
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Magufuli hana Balls ni Bondia anayetaka Ushindi wa Heavy weight kwa kupigana na Toddler au kutaka Mpinzani wake afungwe kamba Anamtwanga Magumi halafu ananyosha Mikono juu kuwa ni Mshindi, What a Coward!

0accff455bf65054ae35f5da89fca939.jpg
 
Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
3,545
2,000
Hii ndio Bongo yetu na ndio maana mimi niliwahi kuleta mada hapa mtandaoni nikasema huenda uumbaji wa binadamu ulifanywa kwa majaribio na bara fulani ndio kiumbe wa jaribio la kwanza aliwekwa aishi na kuzaliana.

Pia nilliwahi sema IQ ya binadamu inakuwa definde na Regions anakopatikana binadamu husika na nikasema kwa bara fulani IQ ndogo iko miongoni mwa watu wengi wanaoishi kusini mwa hilo bara na IQ inaongezeka kadri unavyoenda kaskazini mwa hilo bara.

Sisi tumetisha!

binadamu hajaumbwa kwa majaribio, Mungu hafanyi majaribio kamwe

2_30.gif

30. Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua. Maelezo
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,511
2,000
Magufuli hana Balls ni Bondia anayetaka Ushindi wa Heavy weight kwa kupigana na Toddler au kutaka Mpinzani wake afungwe kamba Anamtwanga Magumi halafu ananyosha Mikono juu kuwa ni Mshindi, What a Coward!

0accff455bf65054ae35f5da89fca939.jpg
Najuta kuzaliwa katika hii nchii!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,711
2,000
...
Pia nilliwahi sema IQ ya binadamu inakuwa defined na Regions anakopatikana binadamu husika na nikasema kwa bara fulani IQ ndogo iko miongoni mwa watu wengi wanaoishi kusini mwa hilo bara na IQ inaongezeka kadri unavyoenda kaskazini mwa hilo bara.

Sisi tumetisha!
...
mkuu ni kweli mnatisha. niliwahi kusoma humu kuwa viongozi wa UTG ni saanane, malisa na shao. hiyo ndiyo thinking generation wengine misukule tu.

mnatisha mkuu!
 
forex

Senior Member
Jun 15, 2017
198
250
Sio kweli! South Africa unaiweka wapi? TZ kuna mtu aliwahi kuwa tano bora ulimwenguni kwa watu wenye busara! Chuo Kikuu cha Harvard kina record ya WATZ waliowahi kuwa best students! Je, nawe una IQ ndogo? Nafikiri hapana, hata mimi sina IQ ndogo! Let us use the appropriate technology and make agriculture a science! In 3-5 years u will tell me if you still claim the same!
 
G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
3,813
2,000
Hii ndio Bongo yetu na ndio maana mimi niliwahi kuleta mada hapa mtandaoni nikasema huenda uumbaji wa binadamu ulifanywa kwa majaribio na bara fulani ndio kiumbe wa jaribio la kwanza aliwekwa aishi na kuzaliana.

Pia nilliwahi sema IQ ya binadamu inakuwa defined na Regions anakopatikana binadamu husika na nikasema kwa bara fulani IQ ndogo iko miongoni mwa watu wengi wanaoishi kusini mwa hilo bara na IQ inaongezeka kadri unavyoenda kaskazini mwa hilo bara.

Our problems has got much to with nature that is responsible for our existence

Sisi tumetisha!
.
Sometimes nikiwaza huwa nafika mbali sana kuhusu nchi hii.
Hiyo umechana kweli mtupu..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom