Tetesi: Waliokuwa wanasomea ualimu wakiwa na ufaulu wa div 4 kurudishwa nyumbani

Mtu mwenye uwezo wa kufundisha atafundisha nini sasa kama ufaulu hana
ualimu niliupigaaa chini sabb hauthaminiki ila nilipenda sana kuwa mwalimu nikaona sio case ngoja nisome fani nyingine sabb nilikuwa na sifa ya kusoma fani yeyote ya sayansi
 
Mimi kuna watu bado nawaona tu Vichwa maji, Haiwezekani kabisa uwe na ufaulu wa div 3 uende ualimu, Ualimu una nini haswa mpaka mtu aliefaulu aende? Nchi yetu Haadhamini kabisa ,Mtu Pcb anazingua six anaingia bachelor ya ualimu hapo Mwingine anaenda kupiga diploma ya clinical officer au engineering, Sasa watafute baada ya kumaliza chuo hao wote, ndio utajua Taaluma ya ualimu ni laana tupu
Daah mungu akusamehe tuu maana mwalimu ndo kakufanya uweze kuandika huo upuuzi wako hapo juu
 
Kundi hili la walimu lina watu wengi sana, kusema upo uwezekano wa kuwaboreshea mishahara yao na mazingira ya kazi wote mpaka wahitimu wenye div 1&2 watamani kuwa walimu, si mchezo. Vinginevyo tutaona vijana wakilalamika tu, "nimepangiwa kusomea ualimu wakati sijachagua"
 
Seriously jaman MTU amefeli unataka aambukize kufeli mtoto wako..akapate credit kwanza
 
Afadhali wameliona hilo.Tutatatua tatizo moja la upungufu wa walimu tulete lingine la walimu wenye uwezo mdogo

Bora wawe wachache ila wenye content
Sure mkuu bora hivyo wamechujwa...elimu haiwezi simamiwa na watu waliofeli bwana, bora upungufu wa walimu kuliko walimu weupee ambao watazidi kuharibu future ya vijana wetu. Uzuri wa bahati watu wengi wazuri waliosomea kozi zingine kama electronics, computer science n.k. wanafanya postgraduate diploma ya education kutokana na fursa kuwa finyu ktk kozi zingine. So tutapata walimu vipanga tofauti na hao waliofeli.
 
Back
Top Bottom