Tulishasema hapa idadi ya wabunge sio upinzani. Upinzani ni fikra. Ubunge na udiwani unaweza kuiba kura hata kulazimisha. Kitu ambacho huwezi kulazimisha ni upendo. Kama mtu anampenda mtu mwingine huwezi kualazimisha akupende wewe au kwasababu umemfanyia kitu fulani ni lazima akupende leo.
Upinzani bado sio majority ya Watanzania lakini kuna watu kama 40%-45% ya Watanzania na zaidi ya hao kwenye miji mikubwa. Pamoja na kubanwa vyombo vya habari tunaona Zanzibar na Bara kwamba si kweli inawezekana hata upinzania ukawa na nguvu kuliko hata 2015.
Kubana watu hakuzuii tena inawezekana kumeongeza umashauri maana wapinzani sasa wanaonekana kama mashujaa badala ya kuonekana wanasiasa wa kawaida.
CCM msikubali tena kuzuiwa kwa mikutano haisaidii na itakuwa ngumu hapo Magu akiondoka. 2025 upinzani utakuwa na nguvu kuliko sasa. Vilevile jibuni hoja badala ya kutukana na kutisha kuna mengi ya kujivunia kwa Magufuli. Lakini msiweke fikra kwamba Magufuli hana kasoro au wengine hawapedwi