johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,105
- 164,483
Ni mapenzi ya kutaka kulitumikia taifa lao yaliyowafanya watumie ubunifu wa ziada ili wapate nafasi.Kama walifanya kazi kwa umakini, uaminifu na pasipo kulalamikiwa na yeyote basi wanastahili tuzo.Kama hata kuwatambua imebidi kuhakiki vyeti na siyo perfomance evaluation basi watu hao wanastahili pongezi.Na ndiyo maana hawa wengine wanapotajwa tunashangaa sana yaani mwalimu wa Tundu Lissu kwa mfano hata kama hana cheti lakini kwa uzalendo wake ametuzalishia wataalam mfano wa Tundu nk.