Waliokosa mikopo walia na JK.

General mex

Senior Member
May 1, 2011
158
185
Kwa mujibu wa wanafunzi waliokosa mikopo ambao jana walikuwepo bodi ya mikopo kulalamika, jana waliamua kuandika barua kwa raisi kumwelezea hali halisi. Kwa mimi ninavyoona hii ni hatua nzuri waliyochukua wenzetu kwani inawezekana Jk hafahamu hali halisi. Jumatatu tumepanga kukutana pale wizara ya elimu na kama wakituzingua! Mi naona hatua nzuri ni kupeleka madai haya kwa raisi inaweza ikasaidia, mbona waliweza kuwachangia somalia? Kama hela zimeisha watuchangie na sisi twende vyuo. Nawasilisha.
 
Kwani hawajui kwamba yeye ndo alitoa maelekezo ya masomo ya kipaumbele kwa mikopo? Nakumbuka nilimsikiliza ****** akidai hahitaji tena political science, lawyers etc.
Kwa nijuavyo mimi nchi haiwezi kuendelea kwa kuwa na mainjinia tuu au wanasayansi pekee. Kila fani ina mchango wake ktk maendeleo. Ndo maana magamba wanavurunda sasa!
 
Ni haki yao kupata mikopo kama vigezo wanavyo. Kama haki hiyo wananyimwa ni wajibu wako kuishinikiza serikali ili iwape kupitia Bodi ya Mikopo.
 
kinachonishangaza wanasema kuna watu 800 wamekosa mkopo kwa sababu form zao hazijakamilika. Kwa nini wasingewaambia wazirekebishe?? Kama watareview ayo maombi upya ina maana hao 800 watakosa tena. Mimi naona hii ni mbinu yao ya kujijustfy na kukosesha watu mikopo bila sababu ya maana.
 
Kikwete anafahamu, hawezi badili kitu chochote. Nawatakia kila la kheri ktk mapambano yao.
 
Mtu alitoka na GPA ya 2.ngapi cjui unadhani upstairs yuko vipi?its time wasting kumjadili mtu ambae hata vitu vidogo vya kutumia logic vinamshinda,damn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom