Walioko Brazili

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Kuna Mtanzania yeyote aneishi Brazil au namba ya ubalozi kama tunao hapo au balozi shirikishi anejumuisha nchi za eneo zima la huko na yupo Nchi gani ?
 
Ubalozi umeshafunguliwa tayari nitaulizia washikaji walioko kule namba ya UBALOZINI na nitaiweka hapa.
 
Sawa ,nitangojea hapa hapa ,nategemea kutembelea Brazil mwisho wa mwaka kama hela itatimia kwani kwa muda huu natumia kupata information za huko uzuri kama watakuwa wamefungulia Manaous badala ya Rio.
 
Ubalozi uko Brasilia na namba zao za simu ni 6133642629 au 6133640419
 
Ahsante kwa msaada wako, hivi wanayo tovuti,naona wanatumia Balozi iliyopo hapa Marekani.
 
Ubalozi huo bado ni mchanga mno,na kwa sababu ya Ukwasi,shughuli zake nyingi bado zinafanyika Kwenye Ubalozi wetu uliopo Washington DC.Nina uhakika hauna Tovuti,na hata Wafanyakazi bado si wa kutosha.Umefunguliwa kama ishara ya Mahusiano (kisiasa na kiuchumi) lakini bado hauna uwezo wa kusimama wenyewe kiutendaji.Ili kujua masuala mengi ya huko wasiliana na watu wa DC.
 
Sawa ,nitangojea hapa hapa ,nategemea kutembelea Brazil mwisho wa mwaka kama hela itatimia kwani kwa muda huu natumia kupata information za huko uzuri kama watakuwa wamefungulia Manaous badala ya Rio.
.......Safi sana mazee....usisahau kuchungulia na beach la copa cabana....Teh!!!!Teh!!!!tehhhhhh!!!!!
 
Kama destination ni mji mkuu, Brasilia iko ktkt ya Amazon huko hakuna beach wala nini..........
 
Back
Top Bottom