The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 19,254
- 42,873
Kwa kukadiria mpaka hatua hiyo inaweza kuwa imekula 60/70 mill inaweza kuongezeka au kupungua ila inategemea kwanza material alizotumia na eneo alikofanyia ujenzi.
Tanzania yapo maeneo nyumba kama hiyo mpaka inaisha unatumia 40mill.
Uko sahihi kabisa. Ilizidi kidogo. Hapo naongelea hadi milango, aluminium, taa na huo urembo urembo wa madirishani na nguzo, tiles n.k