Kichangiri
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 331
- 670
Leo nimepita maeneo ya mabibo (kipande cha kutoka mabibo mwisho hadi bigbrother corner) nimeshangazwa na kuona watu wamejenga nyumba za kuishi na za biashara katika eneo ambalo nyaya za umeme mkubwa (gridi ya taifa) zinapita. Hivi mamlaka husika hazioni umuhimu wa kuwaondoa watu hao au mpaka siku waya uanguke na kusababisha maafa? Cha kushangaza kuna watu wanafanya shughuli zao katika eneo hilo kama kilimo cha mboga pamoja na mikutano ya kidini
My take: wahusika waangalie eneo zilipopita nyaya hizi kwani siku likitokea la kutokea yatakuwa sio ya kawaida
My take: wahusika waangalie eneo zilipopita nyaya hizi kwani siku likitokea la kutokea yatakuwa sio ya kawaida