Walioitwa usaili FCC (Fair Competition Commission Tanzania)

Gibeath-Elohimu

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
487
698
Salaam ndugu wana JamiiForums,

Naomba kuwasilisha kwenu maulizo yangu juu ya uwepo wa mjumbe yoyote humu ndani mwenye taarifa za kuitwa kwenye usaili kwa nafasi zilizo tangazwa siku kadhaa zilizopita na tume ya ushindani Tanzania (Fair Competition Commission Tanzania).

Nitashukuru sana kwa yoyote yule mwenye taarifa hizi kunisaidia.

Ahsanteni na barikiwa nyote.
 
Ndugu wajumbe tafadhali msipite kimya kimya kama kuna yoyote mwenye taarifa husika,chonde tujuze mwanabodi.
 
Back
Top Bottom