Walioitwa interview TPB Bank 31/10/2019 ilikuwaje

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,279
Habari wajuba.

Niliapply hii kazi online, sasa katika mihangaiko yangu nipo mkoani katika pitapita kwenye mtandao nikalikuta jina langu katika majina ya almost watu 200 na interview ni kesho Dar es salaam saa 4. Kiukweli nilikuwa sina namna zaidi ya kuimiss.

Lengo la kuuliza ni kufahamu kilichotokea kwa waliobahatika kuwepo eneo hili ili tuendelee kujifunza zaidi.

Asante.
 
Back
Top Bottom