WALIOISHIWA PUMZI UPINZANI WATOKE UPINZANI UUNDWE UPYA.

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,478
2,000
Wadau Kuwa Upinzani si lele mama kama walio wengi wanavyodhani.Tumeshudia Wapinzani walioishiwa Pumzi na kurudi CCM.Nachukua nafasi hii kuwapongeza wote waliotoka Upinzani na kujiunga na CCM ni dhahiri Pumzi zao zimekata .Sitaki kuwalaumu najua wana sababu zao zikiwemo za Kimaslahi kama vile Vyeo ,Madaraka Biashara ; Pensheni, na masuala ya Kindugu n.k. Nachukua Nafasi kuwataka Wanachama wote wa Upinzani ambao wanaona Pumzi zimekata waondoke ili wabaki Wanachama wenye Damu na Pumzi ya kutosha ili Upinzani uundwe na Kusukwa Upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Born2xhine

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
798
1,000
Wana Lumumba mnajua kujifariji sana ..ona sasa unavyo jidanganya na kuwadanganya buku 7 wenzio
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom