Walioiba mabilioni ya Watanzania huko Libya kupandishwa Mahakamani

Bwana Jela

Senior Member
Nov 25, 2019
131
655
Hii Nchi ilichezewa sana awamu ya nne.

Kuna kikundi kimojawapo kiliochota na kupora mabilion ya Watanzania huko libya sasa ni rasmi watapandishwa kwenye vyombo vya sheria ili kuyatema mabilion ya Watanzania.

Moja ya walioiba mabilion Hayo anasemekana anataka kukimbia Nchi Naomba Serkali imuwahi huyu fisadi mkubwa.

Watanzania tunataka mabilion ya Watanzania yarudishwe mara moja.

Heko kwa Rais Magufuli kutokucheka na majizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG_20200301_125635.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa, serikali ya Tanzania ilipekea mabilioni Libya watu/wabongo wakayaiba au ilikuaje?

Marekani kila siku inakwiba wese la Libya huku ikiisambaratisha nchi hiyo na kuua watu wake na dunia nzima kiiimya!

Kama kuna mbongo nayeye zali la utajiri wa Libya lilimpitia mimi namuona kama ni mwenye bahati na akili pia, basi tusimuonee wivu
 
kushika wezi wote ni jambo jema na linalofaa (sheria lazima ifuatwe....
Kutumia sheria kama nyundo na kushika baadhi kwa sababu fulani sio vema (wote inabidi washikwe no matter mlengo wao)..
In short sheria iwe kama msumeno ikate mbele na nyuma na sio iwe selective kwa kukata wale tusiowataka pekee
 
Hii Nchi ilichezewa sana awamu ya nne

Kuna kikundi kimojawapo kiliochota na kupora mabilion ya Watanzania huko libya sasa ni rasmi watapandishwa kwenye vyombo vya sheria ili kuyatema mabilion ya Watanzania

Moja ya walioiba mabilion Hayo anasemekana anataka kukimbia Nchi Naomba serkali imuwahi huyu fisadi mkubwa

Watanzania tunataka mabilion ya Watanzania yarudishwe mara moja

Heko kwa Rais Magufuli kutokucheka na majizi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kulikuwa na hela ya Watanzania imetunzwa Libya?
Kulikuwa na hela ya Watanzania imefichwa Libya?
Kulikuwa na hela ya Watanzania imekopeshwa kwa Walibya?
*Hebu tueleze hiyo hela ya Watanzania ilifikaje Libya!*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Nchi ilichezewa sana awamu ya nne

Kuna kikundi kimojawapo kiliochota na kupora mabilion ya Watanzania huko libya sasa ni rasmi watapandishwa kwenye vyombo vya sheria ili kuyatema mabilion ya Watanzania

Moja ya walioiba mabilion Hayo anasemekana anataka kukimbia Nchi Naomba serkali imuwahi huyu fisadi mkubwa

Watanzania tunataka mabilion ya Watanzania yarudishwe mara moja

Heko kwa Rais Magufuli kutokucheka na majizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Libya waliiba hela zenu au muliwapa wawatunzie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Nchi ilichezewa sana awamu ya nne

Kuna kikundi kimojawapo kiliochota na kupora mabilion ya Watanzania huko libya sasa ni rasmi watapandishwa kwenye vyombo vya sheria ili kuyatema mabilion ya Watanzania

Moja ya walioiba mabilion Hayo anasemekana anataka kukimbia Nchi Naomba serkali imuwahi huyu fisadi mkubwa

Watanzania tunataka mabilion ya Watanzania yarudishwe mara moja

Heko kwa Rais Magufuli kutokucheka na majizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndicho bulicheka na bashiru walichokutuma? Yaani hawajaridhika na kumfuta uanachama? Nani mlalalmikaji hapa?
Inayonyesha hujui historia ya pesa hizo unaziziita za Libya ilihali zilikuwa za ghadafi mwenyewe! Usipende kubebeshwa mzigo usioujua undani wake! Bulicheka anasaka furaha ya muda baada ya kuharibu! Hamtamuweza mnayejitahidi kumchafua kwani ana mbinu Mia na kidogo ilihali ninyi mmebaki na polisi wenu! Mtashushuliwa mahakamani Kama kweli mtathubutu kujipeleka
 
Nyumba za serikali na bagamoyo ferry ndio vinaniuma sana!!
Wahusika wakamatwe mara moja.
 
Back
Top Bottom