Waliohukumiwa kunyongwa wa fungua kesi ili adhabu yao itekelezwe Zimbabwe

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,641
6,267
Wamefungua kesi katika mahakama ya kikatiba wakidai kuwa tangu wahukumiwe hawajui ni lini watanyongwa.

Akijibu shauri hilo mwendesha mashtaka kadai kuwa hukumu yao imechelewa kutekelezwa kwa kuwa hakuna myongaji katika nchi hiyo, na hadi sasa hakuna mtu aliyeomba nafasi ya kazi ya kunyonga.

Chanzo: Salim Kikeke kule Facebook.
 
Last edited by a moderator:
Tumpe nani humu Jf hio nafasi miss chaga unayemkubali anaweza kutekeleza bila maaibu
 
Kama wao hawana mnyongaji kwanini wasikodishe kutoka nchi zingine....kama vile iran na misri
 
Eti utakuta watu wanalalamika

ooo hakuna ajira
sasa hakuna ajira au watu wanachagua kazi ?
 
Hao jamaa kabla ya kunyongwa inibidi wa pimwe kwanza akili zao kama ziko sawa.
 
Kazi zingine hata serikali inaruhusu utumie mchanganyiko wa bangi na gongo (chang'aa) ndio utekeleze. Ukishapiga vitu na upo steam, unawaambia wakuletee wafungwa sita kwa mpigo. Ni kama ile ya mochwari.
 
Back
Top Bottom