IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 748
- 771
Waliohukumiwa kifo marekani wafadhilisha risasi badala ya sindano ya sumu.
Wafungwa wawili waliohukumiwa kifo katika Jimbo la oklohama nchin marekani wameenda mahakamani katika kuangaliwa upya namna ya utekelezaji wa jukumu ya kifo
Donald Antony ambeye aliua watu wawili katika tukio la wizi wa mabavu mwaka 2001 na Gilbert Ray ambaye aliua watu wanne kwa risasi baada ya kubugia mihadarati mwaka 2005.wamemtaka jaji stephine friot wa mahakama ya wilaya katika Jimbo la oklohama kuchelewesha hukumu dhid yao
Wameomba mahakamicheleweshe hukumu had pale mahakama itakapoamua iwapo utekelezaji wa Sasa wa hukumu hio kwa kuchoma sindano ya sumu unaendana na katiba ya nchi
Wamesema wamefadhilisha hukumu hio itolewe kwa kufyatuliwa risasi badala ya njia ya sindano ya sumu