Waliofunga harusi mwaka huu na wangependa kutokea kwenye magazine/jarida la harusii watume picha zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliofunga harusi mwaka huu na wangependa kutokea kwenye magazine/jarida la harusii watume picha zao

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lara 1, Sep 6, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hello!

  Jamani kuna gazeti/ jarida jipya limeanzishwa special kwa mambo ya harusi linaitwa malaika magazine. Kwa wale mliofunga harusi mwaka huu na mgependa kutokea gaeteni mtume picha za harusi zenu malaikamagazine@gmail.com na mtatokea toleo la november. Wanapokea picha nyingi tu hata za sherehe nzima.

  Asanteni na mbarikiwe
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kuna gharama zozozte?
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  hamna gharama ni bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ok, tnx.
   
 5. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mimi niliyefunga miaka 10 iliyopita naruhusiwa??
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Unaruhusiwa ndio old is gold!
   
Loading...