Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Kama ulimsikia vizuri suala Hilo litashughukikiwa na wanasheria wa chama watafungua kesi
Walitakiwa wasimamishwe wakati uchunguzi na mashtaka yakiandaliwa. Huwezi kuacha loophole ya kuonekana hawana makosa na kutoa nafasi ya kuharibiwa ushahidi. Ni changa la macho tu.
 
They have some very significant traits in common:
1. They believe they’re intellectually better than anyone else.
2. They can lose an election only if the election is rigged against them.
....... but they've never kidnapped, tortured or killed any innocent live.
 
Endelea kufurahia JF ambayo inakuwezesha kusema chochote ukipendacho hata kama ni kumdhihaki mtu ambaye ana uwezo wa kukuajiri wewe na familia yako yote!
Wewe Malia kuajiriwa usawa huu badala ya kujiajiri mwenyewe! Utaolewa mwishowe!
Tatizo lako unajikaririsha kuwa kila member wa jf ni msaka ajira. Dogo Mimi mwajiri na sijawahi kuajiriwa maishani! Kama vipi nitafute nikuajiri kusambaza mayai ya kuku wangu!
 
Watu hawajui kuwa Chadema ipo kwenye mioyo ya watu na akili za watu,ni km Imani,kuua Imani ni kitu kisichowezekana kwasababu hakionekani Kwa macho haya na wala hakigusiki.Hivyo ni kazi bure kugangaika kubomoa Upinzani.
Kabisa upinzani hautakufa kamwe anayedhani upinzani utakufa hajielewi ni ulevi wa madaraka umemlevya
 
How can a man so called patriot vomit this rubbish?
We cannot waste most of our precious time discussing fabricated suffering of few politicians who you know for sure are just siphoning money for their own comfort while people of your type presume them being saviours. I am not a playmaker so, I cannot entertain people belonging to a wastebasket.
 
Wewe Malia kuajiriwa usawa huu badala ya kujiajiri mwenyewe! Utaolewa mwishowe!
Tatizo lako unajikaririsha kuwa kila member wa jf ni msaka ajira. Dogo Mimi mwajiri na sijawahi kuajiriwa maishani! Kama vipi nitafute nikuajiri kusambaza mayai ya kuku wangu!

Endelea kufurahia uzuri wa JF. Hapa hata kenge anao uwezo wa kudai yeye ni mamba!
 
....... but they've never kidnapped, tortured or killed any innocent live.

You better choose your words carefully!

If I covertly kidnapped, tortured and ultimately killed someone, would I actually be a person who has never kidnapped, tortured and killed anyone, because no one caught me?

Alternatively, if I never kidnapped, tortured and ultimately killed your friend, George, for example, but you accuse me of having kidnapped, tortured and ultimately killed him, would I actually be a person who has kidnapped, tortured and ultimately killed George?
 
"Hivi wewe huna macho ya kukuwezesha kuona alichofanya Magufuli au angalau masikio ya kukuwezesha kusikia watu wengine wakisimulia?"

Natambua kuna watu hadi leo haijulikani walipo na wengine walitekwa nyara na pia wengine kujeruhiwa vibaya kwa amri zake.

Pia nimeshuhudia uhuni alioufanya majuzi kwenye uchaguzi mkuu na pia sitasahau alivyotumia fedha za umma vibaya kwa kujijengea kiwanja cha ndege kijijini kwake.

And the list is endless and rather nauseating. That's all I know about the despot.

Sasa unahamisha mjadala, lakini twende hivyo hivyo!

Hivi wewe kama hukumuua rafiki yangu, Edward, kwa mfano, halafu mimi nikakutuhumu kwamba ulimtumia majambazi wakamteka na kumuua, utakuwa kweli mtu aliyefanya hivyo?

Hivi mtu fulani akishachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, raia wa eneo anakotoka huyo Rais wanapoteza haki yao ya kupatiwa miradi ya maendeleo na Serikali mpaka Rais huyo atakapotoka madarakani? Hivyo ndivyo Katiba na sheria zetu zinavyotaka?
 
Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri
Mdee kasaliti chama, Hana uvumilivu enzi za SA freedom fight angevishwa tairi!
Watakuwa wabunge wa CCM na Ndugai.
Katiba imenajisiwa mchana no kweupe with impunity.
Ndugaism!
Shame on CCM &those puppets!!
 
Team Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!

Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!
Kwa hiyo CDM ikubali kuchaguliwa wabunge?
NEC na CCM wameiba Kura sasa wanaiba watu.kina Mdee.
Acha dunia Ione walivyo majambazi wanatawala kidekiteita wamenajisi katiba ya nchi!!
 
Mnhh kazi yako au battle yako,inakufanya ulale selo? upigwe ?? hii ndio maana halisi ya kuwa kwenye real ground naona umechukulia out of context sijaamaanisha mambo ya good time,nilikua namaanisha battles zenu sio kama za Halima Mdee, kwa mfano wewe ushapigwa kwa ajili ya kazi yako? ...

and yes hamjui pain ....kwa mfano wewe ulale selo,upitie changamoto zote alizopitia for the last 15 years JIULIZE ungeweza?..kwa nini hamrecorgnise her hard work???
Kwa hiyo kusaliti chama kaachive ushindi?
Kwa hiyo kafikia mwisho wanmapambano, kagain alichopigania??
Acha kutetea ujinga, ameuza chama akawe mbunge wa CCM,
Avune alichopigania !!
 
Bashiru
Msukuma
Wamekiri uchaguzi uliwasumbua sana hadi ikafanyika namna;
Hili swala ni la kutengeneziwa uzi na kujadiliana wale walokua wanasema chadema imekataliwa na wananchi waseme sasa
Kama katibu mkuu anakiri mambo yalikua magumu ikafanyika namna Je ni namna ipi?
Kwa hiyo CDM ikubali kuchaguliwa wabunge?
NEC na CCM wameiba Kura sasa wanaiba watu.kina Mdee.
Acha dunia Ione walivyo majambazi wanatawala kidekiteita wamenajisi katiba ya nchi!!
 
Sasa unahamisha mjadala, lakini twende hivyo hivyo!

Hivi wewe kama hukumuua rafiki yangu, Edward, kwa mfano, halafu mimi nikakutuhumu kwamba ulimtumia majambazi wakamteka na kumuua, utakuwa kweli mtu aliyefanya hivyo?

Hivi mtu fulani akishachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, raia wa eneo anakotoka huyo Rais wanapoteza haki yao ya kupatiwa miradi ya maendeleo na Serikali mpaka Rais huyo atakapotoka madarakani? Hivyo ndivyo Katiba na sheria zetu zinavyotaka?
Nonsense.
 
Kwa hiyo CDM ikubali kuchaguliwa wabunge?
NEC na CCM wameiba Kura sasa wanaiba watu.kina Mdee.
Acha dunia Ione walivyo majambazi wanatawala kidekiteita wamenajisi katiba ya nchi!!

Kuna tatizo la kiuongozi (a failed leadership) hapo. Hiki kitu hakikupaswa hata kutokea. Kumbuka tunaongelea makada waandamizi 19, sio wawili, watatu. Ni makada waandamizi 19!

Lazima tukubali kwamba chama kina unaumwa ugonjwa mbaya, ambao huwezi kuutibu kwa kushughulikia symptoms zake tu!
 
Back
Top Bottom