Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Habari wadau. Yajayo yanafurahisha.

Waliokuwa Wabunge wa Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa BAWACHA wenzao na Wanachama kwa ujumla.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba Dada mmoja kutoka Mbeya ameungana na wenzake na wameanza kushinikiza ili waende kuonana na mwenyekiti ili kuomba msamaha.

Jambo hili limeathiri mpango wa pamoja wa kutoa tamko kulaani kuvuliwa uanachama, kutokana na baadhi kutokubaliana na matamshi yanayokinzana na misimamo yao.

Muda unakwenda kasi, muda si mrefu tutasikia mapya juu ya mchongo mzima wa jinsi suala hili lilivyokuwa, watasema wenyewe na tutaelewa vizuri.
Tutaelewana kidogo kidogo
 
And that is your problem. You want him to talk down to his audience? Lissu is the only one who treats his audience with respect. He doesn't take them for granted even though he is more educated than most of them. He touches a chord with them because he tells them what he sees as the truth. He doesn't try to buy them off nor give them easy answers to difficult questions. I think that you are barking up the wrong tree. He totally has nothing in common with the Trump.

Amandla...

Why talk down? He recklessly unleashes insults directed at a whole class of people, completely ignoring the possibility that some people within his audience may be a part of the class he is insulting!

You conclusion is a function of your comparison focal point. Different focal points will result in different conclusions, because both points of convergence and points of divergence exist!
 
Shetani akitimiza azma yake huondoka karibu na eneo la tukio, sasa baada ya yeye kuondoka unabakia mwenyewe hauku ukijutia hayo uliyoyafanya bila hata kuelewa njia gani unaweza kujinasua....

Kifupi shetani huwa hana lolote la maana mbali ya kukuharibia nyota yako, yaani kifupi jamaa ni kivuruge.

"Kumbuka shetani si kiumbe kinachoonekana hapana, bali kina uwezo wa kupenya na kuingia ndani ya nafsi yako kufanya uhalibifu na kisha kutoka baada ya kutimiza azma iliyokusudiwa"

Kwa mfano, waliowahi kufumaniwa watanieewa zaidi ukweli wa jambo hili. Kwa hiyo hawa COVID-19 ni alzima wagawanyike tu sababu shetani kashamaliza kazi yake.
 
Team Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!

Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!

Na utarushiwa kwelikweli kwa sababu by all facts, you are an ignorant of the highest order...
 
Halafu bila aibu unajiita Patriot? Patriot gani wewe usiyejali yanayowasibu wananchi wenzako?

Amandla...
Hakuna cha aibu hapa! nchi hii siyo siasa tu kila leo. Mwanasiasa, akilalamikamunaleta hadithi hapa. Mwanasiasa akibaka, munaleta utetezi hapa. Bhla-bhla! kibao! HAtuhitaji kuondoa shida za wansiasa ili kuendelea. Tatueni matatizo ya wakulima, wafugaji, wavuvi, FINITO!

Kama nawe ni mwanasiasa, ukiona yamekushinda njoo tulime korosho. Korosho ikishindikana tunahamia kwenye alizeti, simple!
 
Ilikuwa siku ngumu sana kwangu nilipomuona Halima Mdee na genge lake wakila kiapo.Nawashukuru sana Chadema kwa uamuzi wao wa kuwafukuza.
Watu wa aina yako wapo wengi tu! Arsenal ikifungwa London, wao wanalia kariakoo. Hawafaidiki na ushindi, hawajulikani London, wao wapo wapo tu kama wewe.
 
Kusema ukweli Magufuli mpe kazi halima mdee,si rahisi kwa mwanamke kuwa jasiri kama hivyo,kwa nchi inayojulikana kama haiheshimu demokresia kubadili msimamo na kama mwanamke pia kuwa that strong tells you something, huyu kamanda sio kwamba hakujua sie wapiga kelele wa mtandaoni tutaongea mbovu,alijua na bado akasimamia anachotaka... Halima do your thing,wengi wetu tunaongea mbovu kwenye comfort zone ya majumbani kwetu infront of laptop/computer...VITA uliyopigana ukiwa in the real environment..ni vita halisi from the real ground, NONE of US can fight in the 'real' war as you have DONE and if they dont appreciate the hard work you did for the party and the country I DO!

Kama hii nchi inajua halima anaujasiri wa kiasi gani wasingemuibia kura walivyomuibia, jaman mbona hivyo ? yan mje kumpa ubunge wa viti maalumu wakati mchungaji mmemsaidia kuiba boxi za kura ? ivi hii nchi mnaona watu wote ni bendera fuata upepo sio ??
 
Na utarushiwa kwelikweli kwa sababu by all facts, you are an ignorant of the highest order...

Matusi hayajawahi kuwa substitute ya nguvu ya hoja na hayatakaa yawe. Kwa hiyo, ukiona mtu anakimbilia kurusha matusi, jua kuwa huyo anahitaji kuombewa, kwa sababu hayo matusi ndiyo the best his or her brain can offer!
 
Njaa; Halima ana tamaa ya fedha, baada ya kukosa ubunge alikuwa hana pa kushikia!! Fursa ya viti maalum ilipojitokeza akatumbukia moja kwa moja!
Kuna tofauti kati ya njaa na tamaa kina Halima hawana njaa ila wana tamaa
 
Mbowe mwenyewe amekiri kuna viongozi wamefoji na kupeleka majina. Taarifa ya tume imesema Katibu mkuu msaidizi ndiye alipeleka nyaraka zikiwa na saini ya Katibu Mkuu. Cha ajabu kikao cha juzi hakijasema lolote kwa waliofanya "uhuni" huu. Unadhani ni kwa nini.
Kama ulimsikia vizuri suala Hilo litashughukikiwa na wanasheria wa chama watafungua kesi
 
Kuna wakati nawashangaa watu kama wewe. Ktk nchi hii siasa si kazi ya lazima. Kama shida ni kubwa kiasi hicho unachoeleza, kwa nini hawaachani na siasa? Kinachowavutia kuendelea na siasa ktk mazingira kama hayo ni juu yao, Iwe ni ushujaa au ujinga wao, ni juu yao!!

Usitupotezee muda kusimulia mikasa isiyotuhusu, sisi hatukuwatuma kuwa wanasiasa! Au unadhani wanatupigania? Kwahi hawajui kuna kazi zingine Zaidi ya siasa? Kuna mtu hapa katoa mfano wa wakulima, mbona jua likiwaka wanaachana na kilimo na kuanza kufuga mbuzi? Iweje kwa upuuzi wao uanze kutusimulia utadhani waliumbwa ili wawe wanasiasa? Trash!
How can a man so called patriot vomit this rubbish?
 
Kukataa matokeo ni utamaduni wa narcissists wote popote walipo. Hata Trump (twin brother wa Lissu na Maalim Seif) hajakubali matokeo!

Hivi wewe huna macho ya kukuwezesha kuona alichofanya Magufuli au angalau masikio ya kukuwezesha kusikia watu wengine wakisimulia?
"Hivi wewe huna macho ya kukuwezesha kuona alichofanya Magufuli au angalau masikio ya kukuwezesha kusikia watu wengine wakisimulia?"

Natambua kuna watu hadi leo haijulikani walipo na wengine walitekwa nyara na pia wengine kujeruhiwa vibaya kwa amri zake.

Pia nimeshuhudia uhuni alioufanya majuzi kwenye uchaguzi mkuu na pia sitasahau alivyotumia fedha za umma vibaya kwa kujijengea kiwanja cha ndege kijijini kwake.

And the list is endless and rather nauseating. That's all I know about the despot.
 
Back
Top Bottom