Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,306
Naona wale wafanyakazi waliofukuzwa NIDA wameanza kulipwa wapo hapa maeneo ya Victoria naona kiongozi wao anawaambia wenye cheki zenye mapungufu wamuone. Habari kamili jioni naona vyombo vya habari vipo...