Waliofukuzwa kazi BOT Waidai Serikali billion 3.5 kama fidia.

Dec 25, 2016
63
83
6163846b74d52ce57be39014078476cb.jpg
 
kaamkaa NA dengeruu huyuu kawalipa yeyee

Tuliza kipago mkuu, habari ndo iyo washalipwa chao hao.

Wanasheria naomba mnisaidie........
ivi jamani nasi tunaoswekwa rumande bila makosa na hawa maDC na ma RC ivi hatuwezi kufungua madai dhidi ya hii serikali ikatulipa?? kwani kwa kitendo chao naona kuna damages unakuwa umesababishiwa hapo pia usumbufu au ndo kuzubaa kwetu.
 
Gazeti: Waliofukuzwa kazi BoT Waidai serikali
Wewe Mleta Mada:Serikali yawalipa waliofukuzwa kazi BoT!!

Mleta mada tufanyie khisani kwa kutuwekea habari kamili!
 
Gazeti: Waliofukuzwa kazi BoT Waidai serikali
Wewe Mleta Mada:Serikali yawalipa waliofukuzwa kazi BoT!!

Mleta mada tufanyie khisani kwa kutuwekea habari kamili!
Si utafute hilo gazeti inunue usome upate ukweli. Tunapenda kuongea bila kutafiti kidogo hapo ndio shida yetu
 
Si utafute hilo gazeti inunue usome upate ukweli. Tunapenda kuongea bila kutafiti kidogo hapo ndio shida yetu
Nani anapenda kuongea bila kutafiti?! Btw, kwanini nikatafute hilo gazeti wakati mleta mada alikuwa na uwezo wa kuweka habari iliyokamilika au angalau isiyo na mkanganyiko?!
 
Kwani
Nani anapenda kuongea bila kutafiti?! Btw, kwanini nikatafute hilo gazeti wakati mleta mada alikuwa na uwezo wa kuweka habari iliyokamilika au angalau isiyo na mkanganyiko?!
Kiongozi hilo gazeti si buku tu. Mtoa mada maybe kaandika alichoandika kutokana na uelewa wake. Wewe nunua hilo gazeti upate undani wa hiyo habari uweze kuchangia vizuri.
 
Una muda wa kutosha kuchambua gazeti na kisha kutujuza kitu sahihi. Wengine huku tunasoma magazeti ya juzi. Sasa kama unakuwa na Haraka kama unaoga nje, mnakuwa hamtutendei Haki.
 
Back
Top Bottom