kwemanga1
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 839
- 599
Sheria inatamka bayana kwamba mkuu wa mkoa/wilaya anaweza kumuweka ndani au chini ya ulinzi wa dola kwa saa 48 mfululizo mtu ambae ni mhalifu au ambae anaweza hatarisha amani iliyopo, sasa mhalifu ni rahisi kutambua mtu alietenda jinai, kwenye kuhatarisha amani ndio hutegemea tafsiri yake huyo mkuu wa mkoa/wilaya na hapo ndio penye mwanya wanapojificha, ila unaweza kwenda mahakamani ili akathibishe vitendo au kauli yako imehatarisha vipi amani na mahakama ikiridhika na madai yako itaamua kadri itakavyoona inafaa, kutoa onyo, karipio au fidia kwa mhusikaTuliza kipago mkuu, habari ndo iyo washalipwa chao hao.
Wanasheria naomba mnisaidie........
ivi jamani nasi tunaoswekwa rumande bila makosa na hawa maDC na ma RC ivi hatuwezi kufungua madai dhidi ya hii serikali ikatulipa?? kwani kwa kitendo chao naona kuna damages unakuwa umesababishiwa hapo pia usumbufu au ndo kuzubaa kwetu.