- Thread starter
- #21
Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi itafunguliwa katika mahakama ya kisutu baada ya taraibu zote kukamilika. Source.mimi mwenyewe nimemsikia mwathirika mmoja akiongea na wakili wao.
Kama ambavyo Dr. Ulimboka anavyotetewa na wanaharakati, vivyo hivyo na wanyonge watatetewa tu. Safi sana mawakili walioamua kuwatetea hawa wanyonge ambao wameshuhudia makundi ambayo yangewatetea kama wanasiasa na wanaharakati wanabeba mabango ya kutetea nduli Ulimboka.