Waliofiwa na ndugu zao wakati wa mgomo kumshtaki Dk Ulimboka na chama cha madaktari

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi itafunguliwa katika mahakama ya kisutu baada ya taraibu zote kukamilika. Source.mimi mwenyewe nimemsikia mwathirika mmoja akiongea na wakili wao.
 
Safi wapelekwe wote mahakamani na wafungwe kwa ubinafsi na tamaa na uroho
 
kuna kundi la wanajamii limejiandaa kuishitaki serikali kwa kushindwa kuzuia migomo ya madaktari mara tatu na kuwaacha wananchi wakiteseka.pia kundi hilo litafungua mashtaka dhidi ya serikali kwa kushindwa kuweka vifaa vya tiba mahospitalini na hivyo kupelekea mauti kwa maelfu ya watanzania.kundi hili limesikika likihamaki kwa nini tunalipa kodi wakati huduma za afya ni mbovu huku viongozi wakinunua mashangingi badala ya ct scan?
KAZI IPO!
Source;mimi mwenyewe.
 
Kweli kabisa wanahaki ya kufanya hivyo kwa sababu mahakama ilikuwa tayari imezuia mgomo huo, hivyo ulikuwa batili. Nadhani mnakumbuka chama cha walimu kilivyoambiwa pia?

Mi nina wasiwasi na chama cha madaktari na hiki cha walimu kama wanatumia wanasheria makini, wasije kuwa viongozi wao wanawaingiza mkenge!
 
Najua wakifanya hivyo ni njama za serikali ya ccm tu ili kuwanyamazisha madaktari
 
... Na sisi tuliofiwa na wagonjwa kabla na baada ya mgomo huku vijijini kwa zahanati na vituo vya afya kukosa BASIC MEDICINES, tools & equipment sijui tumshtaki nani? Nahisi kizunguzungu, hasira, machozi yananitoka upya. Dah! ... we have dead minds.
 
Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi itafunguliwa katika mahakama ya kisutu baada ya taraibu zote kukamilika. Source.mimi mwenyewe nimemsikia mwathirika mmoja akiongea na wakili wao.

Umetumwa kupima upepo eeh! pole sana, try the alternative!!!!, wamshitaki na ziraili na Mungu kwa kuruhusu vifo! mamamamayo!
 
Yameiva. Juzi nimemsikia Mbopo akisema kuwa Ulimboka ashtakiwe kwa uhujumu uchumi na mauaji. CCM imeishiwa. Waache waende mahakamani.
 
Kama ni kweli ni wazi hiyo ni mbinu ya Serikali kujihami na aibu ya kuumbuka, wasije wakatajwa walishiriki viongozi waandamizi wa serikali waliohusika na sakata hili.
 
Ni jambo la kushangaza kwa Raisi Kibaki kutuma ndege kuja kuchukuwa majeruhi wa ajali walikuwa wamelazwa MOI, je nini waliona??
 
mbona mna mchecheto baada ya comrade ulimboka kurejea nchini?
Ulimboka amesema yuko tayari kwa chochote,hamkumuelewa?alipoamua kuwa kiongozi wa mgomo alijua lolote laweza kumpata hata kifo pia.
Personally i know dr uli.never underestimate Dr ulimboka!hata ukitaka kumuua ni lazima ujipange.
Hebu tuwe na subira kwa kuwa Ulimboka ametumwa kuikomboa sekta ya afya na nchi kwa ujumla.
 
Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi itafunguliwa katika mahakama ya kisutu baada ya taraibu zote kukamilika. Source.mimi mwenyewe nimemsikia mwathirika mmoja akiongea na wakili wao.

hao wana mtindio wa ubongo we ulipata kusikia kutoka kwa nani kuwa daktari anazuia kifo? wambie wabadilishe hati ya mas
 
Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi itafunguliwa katika mahakama ya kisutu baada ya taraibu zote kukamilika. Source.mimi mwenyewe nimemsikia mwathirika mmoja akiongea na wakili wao.

Siku zote walikuwa wap-siasa tu kila sehemu!-yanga simba! -blah-blah!-bongo bwana
 
kuna kundi la wanajamii limejiandaa kuishitaki serikali kwa kushindwa kuzuia migomo ya madaktari mara tatu na kuwaacha wananchi wakiteseka.pia kundi hilo litafungua mashtaka dhidi ya serikali kwa kushindwa kuweka vifaa vya tiba mahospitalini na hivyo kupelekea mauti kwa maelfu ya watanzania.kundi hili limesikika likihamaki kwa nini tunalipa kodi wakati huduma za afya ni mbovu huku viongozi wakinunua mashangingi badala ya ct scan?
KAZI IPO!
Source;mimi mwenyewe.

Tumegundua mahakama imekua "SILENCER" kwa masuala yote yanayoumiza vichwa! Unayafikisha kisha unanyoosha miguu vichwa, vinapata nafasi ya kuwaza hatua inayofuata!
 
Back
Top Bottom