figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,486
Kesi ya Shirika hodhi la reli nchini (RAHCO): Shauri hili linahusu ukiukwaji wa sheria na taratibu za kuwapata wazabuni kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ya kimataifa (Standard Gauge) Unaosimamiwa na shirika hodhi la reli nchini (RAHCO)
Tayari watuhumiwa wa kesi hii, washakamatwa na kuhojiwa. Yumo Mkenya pia.
Tayari watuhumiwa wa kesi hii, washakamatwa na kuhojiwa. Yumo Mkenya pia.