Waliofanya kazi na Magufuli wamevumilia mengi

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,120
Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi.

Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la kawaida tu.

Ngoja nikupe kisa kimoja tu cha huyu aliyekuwa msaidizi wa Magufuli. Kuna kipindi alitaka kujenga sasa alipoona ukaribu wake na mh. Magufuli (kipindi akiwa waziri) alimshirikisha dhamira yake. Alimwita baba naomba unikopeshe milioni 5 niongezee na kiasi nilichonacho nijenge. Nitakurudishia baba. Jamaa aliambulia majibu ya kukaripiwa kama mtoto.

Huyu mtu mpaka Magufuli anafariki akiwa Rais bado alikuwa mmoja wa wafanyakazi wake.

Hapo point si kumsaidia kila mtu anayehitaji msaada kwake maana hata yeye mwenyewe alikuwa na mahitaji yake binafsi. Point iliyonifanya nilete uzi ni majibu ya ukali aliyompa kana kwamba hamfahamu kabisa.
 
Hizo ni stori za kike.Kwani ww ujawai kufokewa na kaka yako?Kwani magufuli hakuwa binadamu?Akifokea mtu tu, ni kosa ?Hebu acha stori za urojo .
 
Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi.

Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la kawaida tu.

Ngoja nikupe kisa kimoja tu cha huyu aliyekuwa msaidizi wa Magufuli. Kuna kipindi alitaka kujenga sasa alipoona ukaribu wake na mh. Magufuli (kipindi akiwa waziri) alimshirikisha dhamira yake. Alimwita baba naomba unikopeshe milioni 5 niongezee na kiasi nilichonacho nijenge. Nitakurudishia baba. Jamaa aliambulia majibu ya kukaripiwa kama mtoto.

Huyu mtu mpaka Magufuli anafariki akiwa Rais bado alikuwa mmoja wa wafanyakazi wake.

Hapo point si kumsaidia kila mtu anayehitaji msaada kwake maana hata yeye mwenyewe alikuwa na mahitaji yake binafsi. Point iliyonifanya nilete uzi ni majibu ya ukali aliyompa kana kwamba hamfahamu kabisa.
Walivumilia mengi lakini unafiki wao uliwasaidia sana.
 
Roho ya Korosho!🐒🐒🐒
1577989035473.jpg
 
Wanamsingizia tu kwakua wanajua hayupo ili awajibu,

Nani asiyetaka kutembelea Ma VX yenye plate number zinazoanzia na W, kiyoyozi, posho n.k.

Lazima wawehuke ili kutimiza malengo, hao ndio wanasiasa bwana.
 
Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi.

Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la kawaida tu.

Ngoja nikupe kisa kimoja tu cha huyu aliyekuwa msaidizi wa Magufuli. Kuna kipindi alitaka kujenga sasa alipoona ukaribu wake na mh. Magufuli (kipindi akiwa waziri) alimshirikisha dhamira yake. Alimwita baba naomba unikopeshe milioni 5 niongezee na kiasi nilichonacho nijenge. Nitakurudishia baba. Jamaa aliambulia majibu ya kukaripiwa kama mtoto.

Huyu mtu mpaka Magufuli anafariki akiwa Rais bado alikuwa mmoja wa wafanyakazi wake.

Hapo point si kumsaidia kila mtu anayehitaji msaada kwake maana hata yeye mwenyewe alikuwa na mahitaji yake binafsi. Point iliyonifanya nilete uzi ni majibu ya ukali aliyompa kana kwamba hamfahamu kabisa.
Wewe akili ya mbu, uongo huo. U can’t even put your words together. Kagombee ubunge 2025, bunge liko Dodoma karibu na mirembe hospital
 
Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi.

Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la kawaida tu.

Ngoja nikupe kisa kimoja tu cha huyu aliyekuwa msaidizi wa Magufuli. Kuna kipindi alitaka kujenga sasa alipoona ukaribu wake na mh. Magufuli (kipindi akiwa waziri) alimshirikisha dhamira yake. Alimwita baba naomba unikopeshe milioni 5 niongezee na kiasi nilichonacho nijenge. Nitakurudishia baba. Jamaa aliambulia majibu ya kukaripiwa kama mtoto.

Huyu mtu mpaka Magufuli anafariki akiwa Rais bado alikuwa mmoja wa wafanyakazi wake.

Hapo point si kumsaidia kila mtu anayehitaji msaada kwake maana hata yeye mwenyewe alikuwa na mahitaji yake binafsi. Point iliyonifanya nilete uzi ni majibu ya ukali aliyompa kana kwamba hamfahamu kabisa.
Acha uongo JPM alipenda watu wanaopenda maendeleo! Wewe ni mzandiki tu
 
Una akili timamu?
Hili jambo nimesimuliwa na mhusika ambaye ni mfanyakazi mwenzangu kada moja.
Hakunisimulia ili kumpondea Magufuli, kuna jambo alinielezea ikabidi ligusiwe na hili.
 
Alishindwa nini kwenda kukopa benki na yeye?
Alikopa akanunua kiwanja kimara. Si unajua viwanja vya kimara vilivyo ghali. Akabakiwa na fedha ya kuanzia ujenzi mkononi aliamini akipata ml.5 ataweza kufika hatua ya kuhamia. Kumshirikisha mzee akaambuliwa kutukanwa.
 
Back
Top Bottom