matyhans JF-Expert Member Jan 3, 2013 610 400 Jan 25, 2017 #1 Bandugu nauliza kuna aliyeitwa kazini kwa tuliofanya interview tajwa hapo juu?
Nzunga Senior Member Oct 24, 2011 170 58 Jan 26, 2017 #2 Kuna brother flan hapa kashaanza kazi tangu tarehe 10 mwezi january
BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Jun 23, 2012 12,320 11,322 Jan 26, 2017 #3 Kuna mtu namfahamu walishaitwa kazini na email ya kuitwa walitumiwa