waliofanya interview ya LAPF pale duce

lukac

Senior Member
Apr 8, 2012
122
35
Jamani kwa wale waliofanya interview
ya LAPF pale duce naomba kuuliza kama kuna maelekezo
yoyote waliyotoa baada ya interview
kuisha na kuhusu picha vp
walikusanya coz mi nilipata dharula
niliwahi kuondoka mara baada tu ya
kumaliza written interview..
 
Jamani kwa wale waliofanya interview
ya LAPF pale duce naomba kuuliza kama kuna maelekezo
yoyote waliyotoa baada ya interview
kuisha na kuhusu picha vp
walikusanya coz mi nilipata dharula
niliwahi kuondoka mara baada tu ya
kumaliza written interview..

hapana mkuu hakukuwa na cha ziada..
 
Back
Top Bottom