Waliochaguliwa vyuo vikuu ona nafasi ya chuo chako kwa utafiti wa kisayansi(university ranking)

Hapa walikuwa wanatathmn majengo au nn maana cwez elewa ata ndoton labda vgezo vngn
 
Inawezekana kuna typing error, Ardhi ni 97352 wakati hata Iringa ni 9472!
 
Hila hiyo list naona Ina uhalisia kwa kiasi kikubwa , ingawa sijui kwann SUA ipo chini , Chuo cha mipango wamekitendea haki hao jamaa wako vizuri kwenye utafiti
 
Back
Top Bottom