Waliochaguliwa TRA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Jamani mimi nilipeleka application siku tatu kabla ya
deadline lakini application yangu ilikuwa ya 982 kwa post moja

Kweli hapa kuna uwezekano hata jina langu kufikiwa?

\vipi kuna mwenye taarifa kama wamefanya short list
 
Pole.Tatizo kila mtu anawaza kupata kazi TRA.watoto wa wakubwa ndo wamejazana TRA,sasa mtoa hoja hupo kundi gani,Au kakushika mkono nani
 
We ka jina lako halina ubini na wa2 wa kabila flani toka mkoa mmoja wa kanda ya kaskazin.sahau mkuu..
 
mimi nawapenda wachagga na marafiki zangu asilimia kubwa ni wachagga.lakini kwa hili la wachagga kujazana tra ni kweli.kuna dept ambayo ina wafanyakazi 36 kati yao 21 ni wachagga na rafiki yangu akiwemo.mda wa chai ni aikambe/aika mai.lakini mi naona sawa kwa sababu si tatizo lao,tatizo ni serikali ambayo mfumo wake wa uongozi umezeeka.sasa hivi kila taasisi zimegawana kwa makabila ukikosa tra tafuta taasisi ya kabila lenu.kuna taasisi ya wasukuma,wabena,wamasai,wakuria, nk.mia
 
tehe..Naitafuta hiyo taasisi ya wakurya nihamie naomba kuelekezwa tafadhali....bhita ni bhita mura
 
Ndugu yangu kama siyo mchaga sahau hiyo nafasi. Pia tunaomba serikali igfikirie kuhusu ajira za halimashauri zetu nchini, kwani ajira kuwekwa kwa mh. gasia siyo nzuri warudishe mpango wa zamani wa kwamba halmashauri itangaze nafasi na iajili kwani upungufu mwngi wa wafanyakazi huko halmashauri ni mwingi.
 
ngoja niwadokeze kitu kuhusu wachagga...ivi mna habari kuwa wachagga wanavutana sana?mtu akianzisha biashara ya kaduka leo hapa mwananyamala.duka likikua akapata fremu ingine kariakoo.pale mwananyamala atamwita mchagga ndugu mwenzake ashike iyo fremu...hataicha iende bure tu.na kazini ni ivo ivo.kazi zinatangazwa ndani kwanza.na huwa wanawaambia ndugu zao waaply mapema.wanawasaidia kuandika cover letter na cv yenye ubora...ivyo inakuwa rahisi kupata kazi,cover letter na cv ni bora,na ametuma application mapema.chance ya kupata inakuwa kubwa...swali?watu wa kabila lako unaowajua katika maofisi,lini wamekutonya kuwa kuna nafasi katika ofis zao?UBINAFSI ndo tatizo.wachagga hawana UBINAFSI.
 
Halafu una sali kanisa lipi? tafuta kanisa la TRA utapata kazi haraka haraka.
 
Halafu una sali kanisa lipi? tafuta kanisa la TRA utapata kazi haraka haraka.

Umenifurahisha na kunigusa!! Kuna siku nilikuwa nimejikunja kuandika ku express interest kwenda mahala fulani. rafiki yangu fulani alininisihi nisipoteze nguvu zangu kama mie "SIO MLOKOLE"!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom