Waliochaguliwa na TCU kwenda Mzumbe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliochaguliwa na TCU kwenda Mzumbe

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SuperNgekewa, Sep 25, 2010.

 1. S

  SuperNgekewa Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye kujua inakopatikana orodha ya wanafunzi waliochaguliwa na TCU kwenda Mzumbe University tafadhali atupashe.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Naona bado haijatoka mkuu
   
 3. S

  SuperNgekewa Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa Mzumbe naona wako kama TCU tu: wanapenda mavuno lakini kuhangaikia kilimo hawataki. Vyuo vingine baada ya kuona jinsi TCU walivyo wazembe angalao wamejitahidi kutoa majina ya wanafunzi wao lakini Mzumbe ofisi ya Admissions naona wameenda kunywa komoni kwa Waluguru na hadi sasa hawajarudi ofisini.
   
 4. J

  Jaylone New Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waliochaguliwa na tcu kwenda ardhi naomba mniambie
   
 5. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh......kwel tcu wametuweza!!
   
Loading...